Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wamemtembelea na kumjulia
hali Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya katika Makazi yake
Upanga Jijini Dar es salaam tarehe 31 Januari 2024.
.jpg)
