TAZAMA MCHEZO WA FIMBO KWA VIJANA HAWA

0
Kabila la Wasukuma ni miongoni mwa makabila hapa nchini ambayo hutumia fimbo kwa michezo ya kupigana. Wenyeji wa michezo hii wanasema wamezoea kutumia michezo kama hii hasa nyakati za kuchunga mifugo nyikani na lengo la michezo hii ni kuwa na uchangamfu pindi unapokabiliana na adui yeyote ili uweze kumkabili kwa kutumia fimbo. Muungano Media ilipata wasaa wa kuzungumza na baadhi ya vijana wafugaji kutoka kijiji cha Ikulwe kata ya Majimoto Halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi ambao ni mashuhuri wa michezo hii .

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)