Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akifanya mazungumzo na viongozi wa Tume ya Mipango
wakiongozwa na Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Bw. Lawrence Mafuru (kulia)
Mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.
PICHA B2-B002
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Tume ya
Mipango Bw. Lawrence Mafuru mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika
Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.

