Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akifanya mazungumzo na viongozi wa Benki ya NMB wakiongozwa na
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bi.Ruth Zaipuna mazungumzo
yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.
PICHA C2-C002
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya
NMB Bi.Ruth Zaipuna mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Jijini Dodoma
tarehe 05 Februari 2024.

