1. Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw.
Dustan Shimbo (kushoto) akizungumza jambo na Mratibu Mkuu wa Shughuli za
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Dodoma, Bw. Khalid Bakari Hamrani (katikati)
pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa Muungano (Sehemu ya Siasa na Jamii) Cesilia
Nkwamu (kulia) wakati wa ziara ya Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum
za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais
iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024.
2. Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw.
Dustan Shimbo (kushoto) akizungumza jambo na Mratibu Mkuu wa Shughuli za
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Dodoma, Bw. Khalid Bakari Hamrani (katikati)
pamoja na Mkurugenzi Msaidizi wa Muungano (Sehemu ya Siasa na Jamii) Cesilia
Nkwamu (kulia) wakati wa ziara ya mafunzo kwa Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya
Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu
wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024.
3. Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw.
Dustan Shimbo (kushoto) akisalimiana na Katibu wa Tume ya Tume ya Utumishi ya
Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Bw. Hassan Haji (kulia) muda mfupi
baada ya kuwasili katika Ofisi ya Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali Mtumba
Dodoma kwa ajili ya ziara ya mafunzo waliyoifanya leo Jumatatu Febtuari 5, 2024.
Katikati ni Mratibu Mkuu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Dodoma,
Bw. Khalid Bakari Hamrani na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Kanali Mstaafu Miraji Vuai.
4. Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Hanifa Selengu
(katikati) akizungumza jambo wakati wa ziara ya mafunzo ya Wajumbe wa Tume ya
Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi
ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari
5, 2024. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Kanali Mstaafu Miraji Vuai
5. Katibu wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Bw.
Hassan Haji akizungumza jambo wakati wa wa ziara ya mafunzo ya Wajumbe wa
Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya
katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo
Jumatatu Februari 5, 2024. Kulia ni Mratibu Mkuu wa Shughuli za Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar-Dodoma, Bw. Khalid Bakari Hamrani
6. Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasimali Watu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw.
Elisha Msengi (kushoto) akizungumza jambo wakati wa ziara ya mafunzo ya
Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba
Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024. Wengine ni Mkurugenzi wa Kitengo cha
Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo na Mkurugenzi
Msaidizi wa Muungano (Sehemu ya Siasa na Jamii) Bi. Cesilia Nkwamu.
7. Mratibu Mkuu wa Shughuli za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar-Dodoma, Bw. Khalid
Bakari Hamrani (katikati) akizungumza jambo wakati wa ziara ya mafunzo ya
Wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
waliyoifanya katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba
Dodoma leo Jumatatu Februari 5, 2024. Wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa
Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Hanifa Selengu na Katibu wa Tume hiyo
Bw. Hassan Haji.
8. Mkurugenzi Msaidizi wa Muungano (Sehemu ya Siasa na Jamii) Bi. Cesilia Nkwamu
akizungumza jambo wakati wa ziara ya mafunzo ya Wajumbe wa Tume ya Utumishi
ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya katika Ofisi ya
Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo Jumatatu Februari 5,
2024. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya
Makamu wa Rais Bw. Dustan Shimbo na Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na
Rasilimali Watu Bw. Elisha Msengi.
9. Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria Ofisi ya Makamu wa Rais Bw.
Dustan Shimbo akizungumza jambo wakati wa ziara ya mafunzo ya Wajumbe wa
Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliyoifanya
katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo
Jumatatu Februari 5, 2024. Wengine ni Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasimali
Watu Bw. Elisha Msengi na Mkurugenzi Msaidizi wa Muungano (Sehemu ya Siasa
na Jamii)
10. Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Bi. Hanifa Selengu (katikati) pamoja na Mwenyekiti
wa Tume ya Utumishi ya Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Kanali
Mstaafu Miraji Vuai (kushoto) pamoja na Wajumbe wa Kamati hiyo wakiwa katika
picha ya pamoja muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao baina yao kilichofanyika
katika Ofisi ya Makamu wa Rais iliyopo Mji wa Serikali, Mtumba Dodoma leo
Jumatatu Februari 5, 2024.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)