M/RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA SPIKA MSTAAFU ANNE MAKINDA

MUUNGANO   MEDIA
0



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip

Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Spika Mstaafu wa Bunge la

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Anne Makinda mazungumzo

yaliyofanyika Jijini Dodoma tarehe 05 Februari 2024.

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)