Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili Taasisi ya
Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar kuongoza zoezi la upandaji miti ili
kuhamasisha utunzaji mazingira lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09
Februari 2024.
PICHA B2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akipanda mti aina ya Mpilipili Doria katika Taasisi ya Sayansi na
Teknolojia ya Karume – Zanzibar wakati wa zoezi la upandaji miti
kuhamasisha utunzaji mazingira lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09
Februari 2024.
PICHA B3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akimwagilia mti aina ya Mpilipili Doria mara baada ya kuupanda
katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar wakati wa zoezi
la upandaji miti kuhamasisha utunzaji mazingira lililofanyika katika Taasisi hiyo
tarehe 09 Februari 2024.
PICHA B4
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Mbonimpaye Mpango akimwagilia mti aliyoupanda katika Taasisi ya Sayansi
na Teknolojia ya Karume – Zanzibar wakati wa zoezi la upandaji miti
kuhamasisha utunzaji mazingira lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09
Februari 2024.
PICHAB5-B0005
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akizungumza na viongozi, wahadhiri pamoja na wanafunzi mbalimbali
mara baada ya zoezi la upandaji miti lililofanyika katika Taasisi ya Sayansi na
Teknolojia ya Karume – Zanzibar tarehe 09 Februari 2024.
PICHA B6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na baadhi ya
wanafunzi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume – Zanzibar mara
baada ya zoezi la upandaji miti lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09
Februari 2024.
PICHA B7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa katika picha ya pamoja na wahadhiri wa Taasisi ya Sayansi na
Teknolojia ya Karume – Zanzibar mara baada ya zoezi la upandaji miti
lililofanyika katika Taasisi hiyo tarehe 09 Februari 2024.