MAPOKEZI RASMI YA RAIS WA JAMHURI YA POLAND, MHE. ANDRZEJ DUDA - IKULU, DAR ES SALAAM
Ijumaa, Februari 09, 2024
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Poland Andrzej Duda, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Februari, 2024.
