PICHA A1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akiweka Saini katika kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakati alipofika katika Makazi ya
Familia Masaki Jijini Dar es salaam tarehe 11 Februari 2024. Kulia ni Mke wa
Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.
PICHA A2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akimfariji mjane wa Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward
Lowassa ,Mama Regina Lowassa mara baada ya kuwasili nyumbani kwa
familia hiyo Masaki Jijini Dar es salaam. Tarehe 11 Februari 2024.
PICHA A3
Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango akimfariji mjane wa
Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa , Mama Regina Lowassa
mara baada ya kuwasili nyumbani kwa familia hiyo Masaki Jijini Dar es
salaam. Tarehe 11 Februari 2024.
PICHA A4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akiwafariji waombolezaji mbalimbali wakati alipofika nyumbani
kwa Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa Masaki Jijini Dar es
salaam tarehe 11 Februari 2024.
PICHA A5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akiagana na Mbunge wa Monduli Mhe. Fredy Lowassa ambaye
ni Mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa mara baada ya
kusaini kitabu cha maombolezo na kuwafariji wafiwa katika makazi ya familia
Masaki Jijini Dar es salaam. Tarehe 11 Februari 2024.

