MILIONI 900 ZAKARABATI HOSPITAL KONGWE BUKOMBE
Na Makunga Peter Makunga.
GEITA
Mkuu wa mkoa wa Geita Martine Shigela amewapongeza viongozi wa chama na serikali kwa kusimamia vyema Bil 13.2 fedha za miradi ya maendeleo zilizotolewa na Raisi dkt Samia Suluhu Hasan kwa mwaka huu wa fedha zikiwemo za ukarabati wa hospital kongwe ya wilaya ya Bukombe iliyopewa sh. 900 milioni.
Pongezi hizo Martine Shigera amezitoa kwenye ziara ya kikazi ya siku mbili wilayani Bukombe iliyokamilika jana..
Baada ya kufika kukagua mradi huo katika hospital ya wilaya mkuu huyo wa mkoa wa Geita ametumia furusa hiyo kuwa asa watumishi wa idara ya afya wawe na rugha zenye staha kwa wagonjwa pia amewatia moyo na kumwagiza mkurrugenzi afatilie upandaji wa madaraja yao,.
awali akisoma Risala kwa mgeni Rasmi mganga mfawidhi wa Hospital ya Wilaya DR NYAMHANGA RANGE ametaja gharama hizo na ametaja pia faida za mradihuo kwamba utaongeza idadi ya wateja,
mradi huo umetoa ajira za muda muda mfupi kwa wananchi wa Bukombe na kuwanufaisha wapatao 126 kwa kufanya kazi mbalimbali za mikono za ufundi .
MWISHO.
