Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh Hemed Suleiman Abdulla akitoa zawadi mbali mbali kwa washindi wa Bonanza la Michezo mbali mbali lililoandaliwa na bank ya NMB bonanza lililofanyika Katika Viwanja vya Maou Ztung ikiwa ni shamra shamra za kutimiza miaka 25 tokea kuanzishwa kwake.
Utoaji wa zawadi hizo umefanyika katika ukimbi wa Golden tulip uliopo uwanja wa ndege jijini Zanzibar.



