WAZIRI MKUU ATEMBELEA MAONESHO YA MADINI

MUUNGANO   MEDIA
0

 

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama sampuli za madini katika maonesho ya  madini  kabla ya kuhutubia Kongamano la Wachimbaji  Madini na Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA) kwenye ukumbi wa Rock City Mall jijini Mwanza, Mei 9, 2023.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Kamishina wa Madini, Dkt. Abdulrahman Mwanga   (kushoto kwake)  kuhusu vito vinavyotokana na madini mbalimbali katika  maonesho ya  madini  kabla ya kuhutubia Kongamano la Wachimbaji  Madini na Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA) kwenye ukumbi wa Rock City Mall jijini Mwanza, Mei 9, 2023.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi  alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza ambako alifungua  Kongamano la Wachimbaji  Madini na Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA) kwenye ukumbi wa Rock City Mall jijini Mwanza, Mei 9, 2023.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vito katika maonesho ya  madini  kabla ya kufungua Kongamano la Wachimbaji  Madini na Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA) kwenye ukumbi wa Rock City Mall jijini Mwanza, Mei 9, 2023.  Kushoto ni Farida  Peter na Khadija Ashibaye (wapili kushoto) wote  wakiwa ni wachimbaji madini wanawake . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama sampuli za madini katika maonesho ya  madini  kabla ya kuhutubia Kongamano la Wachimbaji  Madini na Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA) kwenye ukumbi wa Rock City Mall jijini Mwanza, Mei 9, 2023.   Wa pili kushoto ni Kamishina wa Madini, Dkt. Abdulrahman Mwanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)