MAKUNGA PETER MAKUNGA
GEITA
Afisa Ushirika Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita JACOB FRANCIS amevionya vyama vya Ushirika viache malumbano migogoro na ubadhirifu wa fedha kwani vinakwamisha malengo ya serikali ya awamu ya sita ya kummkomboa Mwana nchi kutoka kwenye wimbi la umasikini.
Habari kamili na MAKUNGA PETER MAKUNGA kutoka Wilayani BUKOMBE
Onyo hilo Afisa Ushirika Wilayani hapa JACOB FRANCIS amelitoa wakati akisimamia uchaguzi mkuu wa kupata viongozi wapya wa chama cha Ushirika wa Wachimba Madini ya dhahabu cha Iponya buhabi Mining cooperative society Limited
INSERT – JACOB FRANCIS – Afisa Ushirika Wialya ya Bukombe
Sambamba na hiyo JACOB FRANCIS amemtangaza EMMANUEL GAMBI kuwa mshindi kwa nafasi ya uwenyekiti kwa miaka mitatu.
Nae EMMANUEL GAMBI ni mwenyekiti mpya wa Iponyabuhabi aliyechaguliwa ameshukuru na kutoa dira kwa kusema.
Kwa niaba ya wajumbe wa Bodi na wanachama TABU HUSSEIN, SAMWELI MWITA na ELIZABETH NGAKA wamesema wanaimani na bodi mpya hii wanauhakika itakwenda kurudisha mali zote zilizopolwa na viongozi wa bodi iliyopita.