Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Mazungumzo na Mkuu wa kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango
akiwasili katika kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya
Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) kilichopo
katika Mji wa Baku leo tarehe 03 Machi 2023.