MADIWANI MBOGWE WACHARUKA KISA MAHINDI MSAADA

0



BARAZA la Madiwani  Halmasahuri ya Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita wamecharuka kutokana na mwenendo wa zoezi la uuzaji wa mahindi yaliyoletwa kwa ajili ya kupunguza ukali wa bei katika kukabiliana na janga la njaa.



Baadhi ya madiwani hao akiwemo Marco Nzella diwani kata Nyasato , Deogratus  Shayo  diwani kata ya Ushirika ,na Deus Lyankando diwani kata Lulembela wamesema hawajaridhishwa na hatua hiyo .

Hali hiyo imejitokeza kwenye Baraza la robo ya Pili kikao kilichoketi katika ukumbi wa mkutano wa halmashauri hiyo.

Katika Baraza hilo mkuu wa TAKUKURU Wilayani Mbogwe Rashid Omari Ally amelieza baraza  kuwa ofisi yake imebaini upo mchezo wa mizani kuwaibia kilo mbili wananchi.

TAZAMA VIDEO HAPA CHINI

Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)