HABARI PICHA: MAJALIWA AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 46 YA CCM YALIYOFANYIKA KIMKOA BIHARAMULO

MUUNGANO   MEDIA
0


 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Maadhimisho ya miaka 46 ya CCM yaliyofanyika kimkoa kwenye uwanja wa CCM Biharamulo mkoani Kagera, Februari 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuui)

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa , Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kagera, Nazir Karamagi, ngao ya pongezi iliyotolewa na CCM mkoa huo katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM yaliyofanyika kimkoa kwenye uwanja wa CCM Biharamulo, Februari 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Wapenzi na wanachama wa CCM wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa , Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika Maadhimisho ya miaka 46 ya CCM yaliyofanyika kimkoa kwenye uwanja wa CCM Biharamulo mkoani Kagera, Februari 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)