Rais Magufuli aenda kumjulia hali Kingunge Ngombale Mwiru
Author -
MUUNGANO MEDIA
Jumapili, Januari 07, 2018
0
Rais
Magufuli akimjulia hali mzee Kingunge Ngombale Mwiru, katika wodi ya
Mwaisela, Muhimbili. Mzee Kingunge amelazwa hospitalini hapo baada ya
kushambuliwa na mbwa nyumbani kwake