Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mha. Mwajuma Waziri wakitoa tuzo katika hafla ya Samia Kalamu Award 2025
katika Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam Leo Mei 05,2025. Ambapo mgeni rasmi katika hafla hiyo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt.Samia Suluhu Hassan
Mshindi katika sekta ya maji ni Bw. Adam Hhando mwandishi wa CG FM.
