RAIS SAMIA MATUKIO MBALIMBALI MIAKA 20 YA BARAZA LA AMANI NA USALAMA AFRIKA.
Author -
MUUNGANO MEDIA
Jumamosi, Mei 25, 2024
0
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama akimvalisha Nishani ya Heshima
Rais Mstaafu wa Burundi Mhe. Domitien Ndayizeye kwa kutambua mchango
wake katika eneo la Amani na Usalama Barani Afrika wakati wa Maadhimisho
ya miaka 20 ya Baraza hilo. Maadhimisho hayo yalifanyika katika Kituo
cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es
Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama akimvalisha Nishani ya Heshima
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) Mhe. Moussa Faki Mahamat
kwa kutambua mchango wake katika eneo la Amani na Usalama Barani Afrika
wakati wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza hilo. Maadhimisho hayo
yalifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama akimvalisha Nishani ya Heshima
Rais Mstaafu wa Nigeria Olusegun Obasanjo kwa kutambua mchango wake
katika eneo la Amani na Usalama Barani Afrika wakati wa Maadhimisho ya
miaka 20 ya Baraza hilo. Maadhimisho hayo yalifanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
tarehe 25 Mei, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama akimvalisha Nishani ya Heshima
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Awamu ya Nne Mhe.
Dkt. Jakaya Kikwete kwa kutambua mchango wake katika eneo la Amani na
Usalama Barani Afrika wakati wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza hilo.
Maadhimisho hayo yalifanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo
Maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) Mhe.
Moussa Faki Mahamat wakati wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza la Amani
na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) yaliyofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
tarehe 25 Mei, 2024.