Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) akihutubia viongozi mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya miaka 20 ya Baraza hilo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
Viongozi
mbalimbali wakishiriki Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la
Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha
Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam
tarehe 25 Mei, 2024. Katibu Mkuu
Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhandisi Zena Said akiwa
kwenye Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la
Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Mikutano
cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25
Mei, 2024. Katibu Mkuu
Kiongozi Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka akiteta jambo na Katibu Mkuu
Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhandisi Zena Said wakati wa
Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja
wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.
Viongozi mbalimbali wakishiriki Mkutano wa Kuadhimisha Miaka 20 ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2024.