WAZIRI JAFO ASHIRIKI HAFLA YA UAPISHO WA VIONGOZI IKULU

MUUNGANO   MEDIA
0



 WAZIRI JAFO ASHIRIKI HAFLA YA UAPISHO WA VIONGOZI IKULU

MAELEZO YA PICHA

1-01

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.

Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya

Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja mara baada ya hafla ya

uapisho wa viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 04,

2024. Mhandisi Luhemeja alihamishiwa Ofisi ya Makamu wa Rais

akitokea Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.

2-02

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.

Dkt. Selemani Jafo (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu

Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja mara baada

ya hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam leo

Aprili 04, 2024. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Muungano) Bw. Abdallah

Hassan Mitawi na Naibu Katibu Mkuu (Mazingira) Bi. Christina Mndeme.

Mhandisi Luhemeja alihamishiwa Ofisi ya Makamu wa Rais akitokea Ofisi

ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.

3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.

Dkt. Selemani Jafo (wa pili kulia) akishiriki hafla ya uapisho wa viongozi

mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam leo Aprili 04, 2024.

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)