Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akitazama namna Kituo
cha Huduma kwa Wateja kinachosimamiwa na TANESCO kinavyopokea simu na
kuhudumia wananchi wakati alipotembelea kituo hicho tarehe 4 Aprili, 2024 jijini Dar es
Salaam.
nne
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akimsikiliza Kaimu
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja TANESCO, Martin Mwambene akieleza namna
Kituo cha Huduma kwa Wateja katika Shirika hilo kinavyopokea simu za wananchi na
kuhudumia wakati alipotembelea kituo hicho leo tarehe 4 Aprili, 2024 jijini Dar es
Salaam.



