Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango ameongoza Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ya
kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa Golden
Tulip Zanzibar tarehe 06 Machi 2024.
PICHA A1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman
Abdulla, Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dotto Biteko, Waziri Nchi Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Pili ya Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Mhe. Hamza
Hassan Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi
Dkt. Moses Kusiluka , Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Mhandisi Zena Said katika picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri na Manaibu
Mawaziri mara baada ya Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania (SJMT) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)
ya kushughulikia Masuala ya Muungano kilichofanyika katika Ukumbi wa
Golden Tulip Zanzibar tarehe 06 Machi 2024.
PICHA A2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Kassim Majaliwa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman
Abdulla, Naibu Waziri Mkuu Mhe. Dotto Biteko, Waziri Nchi Ofisi ya Makamu
wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo, Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Pili ya Rais (Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Mhe. Hamza
Hassan Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi
Dkt. Moses Kusiluka , Katibu Mkuu Kiongozi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Mhandisi Zena Said katika picha ya pamoja na baadhi ya Makatibu Wakuu
mara baada ya Kikao cha Kamati ya Pamoja ya Serikali ya Jamhuri ya