Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akisikilia maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa
Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy kuhusu maendeleo ya miradi ya
umeme vijijini wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini
Awamu ya Tatu Mzunguko wa Kwanza katika Kijiji cha Armanie Wilaya ya
Longido mkoani Arusha tarehe 10 Februari 2024.
B2-B02
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akizindua Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini Awamu ya Tatu
Mzunguko wa Kwanza katika Kijiji cha Armanie Wilaya ya Longido mkoani
Arusha tarehe 10 Februari 2024.
PICHA B3
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akiweka jiwe la msingi la Uzinduzi wa Kituo cha Afya Ketumbeine
kilichopo Kijiji cha Armanie Wilaya ya Longido mkoani Arusha. Tarehe 10
Februari 2024.
PICHA B4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Kituo cha Afya Ketumbeine
kilichopo Kijiji cha Armanie Wilaya ya Longido mkoani Arusha. Tarehe 10
Februari 2024.
PICHA B5-B05
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akikagua Kituo cha Afya Ketumbeine mara baada ya kuzindua kituo
hicho tarehe 10 Februari 2024 akiwa ziarani Wilaya ya Longido mkoani
Arusha.
PICHA B6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akivalishwa vazi la kuwa kiongozi wa jamii ya Kimaasai kutoka kwa
Malaighwanani wa kata ya Ketumbeine mara baada ya uzinduzi wa Kituo cha
Afya Ketumbeine kilichopo Kijiji cha Armanie Wilaya ya Longido mkoani
Arusha. Tarehe 10 Februari 2024.
PICHA B7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akipokea zawadi kwaajili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa wananchi wa kata ya
Ketumbeine Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha mara baada ya kuzindua
Kituo cha Afya Ketumbeine kilichopo Kijiji cha Armanie. Tarehe 10 Februari
2024.
PICHA B8
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakimsalimia Mama wa
kwanza aliyejifungua kwa njia ya upasuaji katika Kituo cha Afya Ketumbeine
wakati wa uzinduzi wa kituo hicho kilichopo Kijiji Armanie Wilaya ya Longido
Mkoa wa Arusha. Tarehe 10 Februari 2024.
PICHA B9-B0009
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Longido mara baada ya
uzinduzi wa Kituo cha Afya Ketumbene akiwa ziarani mkoani Arusha tarehe 10
Februari 2024.