Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia waumini wa Dini ya Kiislamu, wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Swala ya Eid- Adh’haa na Baraza la EID-ADH’HAA Kitaifa, kwenye Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam Juni 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu, wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Swala ya Eid- Adh’haa na Baraza la EID-ADH’HAA Kitaifa, kwenye Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam Juni 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Balozi wa MorocCo nchini, Dkt. Ahamada El Badaoui Mohamed, wakati wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Swala ya Eid- Adh’haa na Baraza la EID-ADH’HAA Kitaifa, kwenye Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam Juni 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Balozi wa Nigeria nchini, Dkt. Hamisu Umar Takalmawa, wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Swala ya Eid- Adh’haa na Baraza la EID-ADH’HAA Kitaifa, kwenye Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam Juni 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Balozi wa Morocco nchini Zakaria El Goumiri, wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Swala ya Eid- Adh’haa na Baraza la EID-ADH’HAA Kitaifa, kwenye Msikiti wa Mfalme wa Morocco Muhammad VI uliopo Kinondoni jijini Dar es salaam Juni 29, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).