KATIBU MKUU TAMISEMI KUFUNGA MAFUNZO YA WALIMU WA ELIMU YA AWALI.

MUUNGANO   MEDIA
0

 




Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Adolf Ndunguru leo Juni 28, 2023 amewasili katika Ukumbi wa Chuo cha Ualimu Morogoro kufunga Mkutano wa Mafunzo ya Walimu wa Elimu ya Awali uliofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 26 - 28 Juni 2023.


Bw. Nduguru ameambatana na Kamishna wa Elimu Dkt. Lyabwane Mtahabwa, Mkurugenzi Elimu ya msingi na Awali (TAMISEMI) Bi.Susana Nussu, Afisa Elimu Mkoa wa Morogoro Bi. German Mung'aho na watumishi wa Ofisi ya Rais- TAMISEMI.

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)