WAZIRI JAFO AKUTANA NA WATENDAJI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.

MUUNGANO   MEDIA
0

 


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amekutana na Watendaji wa Ofisi ya Makamu wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu Dkt. Switbert Mkama kwa ajili ya kupokea taarifa za utekelezaji wa majukumu ya Idara ya Mazingira na Kitengo cha Sheria, kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba jijini Dodoma leo Mei 10, 2023. 


Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)