RAIS SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA KUPELEKA HUDUMA YA MAWASILIANO VIJIJINI.
Jumamosi, Mei 13, 2023
0
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashuhudia Utiaji Saini Mikataba ya Kupeleka Huduma ya Mawasiliano Vijijini kati ya Serikali na Makampuni ya Simu kwenye hafla iliyofanyika Jijini Dodoma.
Tags




