Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu (White House) Makao Makuu Mkoani Dodoma, tarehe 22 Mei, 2023.








