RAIS SAMIA AONGOZA `KIKAO CHA VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI KINACHOHUSU KUANZA KWA MCHAKATO WA KATIBA MPYA.  

MUUNGANO   MEDIA
0



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza `Kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika  Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 06 Mei 2023.

 

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)