WAZIRI MKUU AWASILISHA HOTUBA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA.

MUUNGANO   MEDIA
0


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024, bungeni  jijini Dodoma, Aprili 5, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya 2023/2024, bungeni  jijini Dodoma, Aprili 5, 2023.  Wengine kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Wziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)