DKT. SAMIA ATETA NA BALOZI WA RWANDA ANAYEMALIZA MUDA WAKE HAPA NCHINI.

MUUNGANO   MEDIA
0

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Rwanda hapa nchini ambaye anamaliza muda wake Meja Jenerali Charles Karamba mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2023.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda hapa nchini ambaye anamaliza muda wake Meja Jenerali Charles Karamba mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2023.

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)