BRICS ITAYEYUSHA VIKWAZO VYA UMOJA WA ULAYA DHIDI YA URUSI

MUUNGANO   MEDIA
0

Na Joel kasasa, Dodoma.

BRICS Ni kifupisho Cha majina ya mataifa tano Brazil, Russia,India,China na South Africa ambayo ilijiunga mwaka 2010.

Miaka ya 2001 mchumi James O'Neill's aliwahi toa kifupisho Cha umoja huo Kama BRIC zikiwa nchi nne aliwahi kusema kwamba umoja wa BRIC kipindi hicho ikiwa na mataifa manne tu Brazil ,Urusi , India na China unaweza kuja kudhibiti Uchumi wa dunia ifikapo miaka ya 2050.

O'Neill's kwa Sasa ni mwenyekiti wa Tasisi ya Mambo ya kigeni Institute of international affairs ya Chatham house.

Kwanini Vlandmir Putin Hana wasiwasi na Vikwazo jibu Ni kwasababu ya uwepo wa BRICS ambayo inayeyusha Vikwazo hivo na kudhibiti thaman ya Dollar.

Kwanini GOLD Ni zaidi ya Dollar na Yuan na kwanini Russia na China na India Wana save reserve kubwa tonnes of Gold.

it has intrinsic value because of the demand for gold in jewelry and decoration as well as in the manufacturing of electronic devices, computers, and aerospace vehicles.

Fiat money kwa maana ya hizi paper money hazina intrisic value Zaid central banks and government inaFavoe more Fiat in circulation kwa sababu Ni rahisi kuCalculate Kodi numerically na flexibility yake .

Ndio maana wakaamua kutumia dola japo Ata dollar yenyewe thamani yake iko pegged kwa gold we say labda dola 1 is equal to 500 once of gold.

Then fedha zingine zilikuwa pegged kwa dola bado nasimamia point yangu kwamba BRICS imeikalia kooni dollar.

Baadhi ya wachambuzi wa geopolitics wanasema China inaweza kuwa na ushawishi mkubwa Eastern kutokana na sera yao ya Mambo ya inje ya non-interference of internal affairs .

Mataifa masikini yanapata Loss kubwa kwenye mikopo mfano kwa mjibu wa tafiti zilizowahi kufanywa na ODI (Oversees Development Institute)2013/14 Subsaharan countries zinapata hasara ya dola billion 1 kwa mwaka kutokana na Exchange Rate Risk Yani unakopa Leo billion 500 after four years than ya fedha yako versus dollar inashuka bado hujamaliza kulipa Deni then unalipa pamoja na exchange risk costs za mda huo.

Russia na China Wana nafasi ya kupata wateja wengi na hata mkakati wa China kushusha thamani Yuan Ni mkakati wa kuongeza demand kwenye global market means Ata export more na demand ya Yuan itakuwa kubwa though anakwepa fiat money kwa kutunza utajili wake kwnye gold ambayo demand yake haiwezi ku depreciate

Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)