HABARI KATIKA PICHA:KIKAO KAZI CHA ROBO MWAKA CHA KUTATHMINI UTEKELEZAJI WA KANUNI ZA AFYA ZA KIMATAIFA JIJINI ARUSHA.

MUUNGANO   MEDIA
0

 

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Kinga kutoka Wizara ya Afya Dkt.Otilia Gowelle, katikakati akiteta jambo na Afisa Utayari na Udhibiti wa Dharura na Majanga kutoka Shirika la Afya Duniani(WHO)Tanzania  Dkt. Faraja Msemwa pamoja Mkurugenzi Msaidizi wa Epidemiojia na Udhibiti  wa Magonjwa kutoka Wizara ya Afya Dkt.Vida Makundi Mmbaga  leo tarehe 26,Machi,2026 Jijini Arusha  katika Kikao Kazi cha Robo Mwaka cha Kutathmini Utekelezaji wa Kanuni za Afya za Kimataifa.


Kaimu Mkurugenzi Idara ya Kinga kutoka Wizara ya Afya Dkt.Otilia Gowelle,upande wa kulia akizungumza na Mratibu wa Huduma za Kinga na Udhibiti wa Magonjwa Wizara ya Afya Zanzibar Yahya Mselem    leo tarehe 26,Machi,2026 Jijini Arusha  katika Kikao Kazi cha Robo Mwaka cha Kutathmini Utekelezaji wa Kanuni za Afya za Kimataifa.




Kaimu Mkurugenzi Idara ya Kinga kutoka Wizara ya Afya Dkt.Otilia Gowelle,akishiriki       katika Kikao Kazi cha Robo Mwaka cha Kutathmini Utekelezaji wa Kanuni za Afya za Kimataifa Jijini Arusha leo tarehe 26,Machi,2026.











Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)