HABARI KATIKA PICHA:MAFUNZO YA UFUATILIAJI NA TATHMINI

MUUNGANO   MEDIA
0

Kaimu Mkurugenzi wa  Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini (U&T)  kutoka Wizara ya Afya  Claud  Kumalija       akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki  katika Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Kaimu Mkurugenzi wa  Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini (U&T)  kutoka Wizara ya Afya  Claud  Kumalija       akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Mratibu wa Mafunzo kutoka Wizara ya Afya    Bw. Kilwanila  Kiiza akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Mwezeshaji Mkuu wa Mafunzo  ya Ufuatiliaji na Tathmini   Bw.Evaristus  Makota (Mkurugrnzi Mtendaji – wa Shirika la TanMECC)-Lenye Makao yake Makuu  Jijini Dodoma  akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Afisa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Kamati ya Ushauri ya Afya  Mkoani Iringa Dkt. Tecla Orio 
 akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Meneja Mpango wa Ufuatiliaji na Tathmini kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw. Msarika Magati 
akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Afisa Tathmini na Ufuatiliaji wa Ugavi  kutoka Wizara ya Afya Catherine Lwenge  
 akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Afisa wa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Wizara ya Afya Bw. Josiah Samwel 
akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Afisa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Chuo cha Taifa cha Utalii Bw. Cathbert Nicholaus Mero akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Afisa wa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi Kilimanjaro Grace Anderson Saria akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Afisa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Mwalimu Nyerere RRH Bw. Theogenes Michael  
akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Afisa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma(DODOMA RRH) Bw. Edmund Mgeni 
akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Afisa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Tumbi RRH Mkoani Pwani Jazila Hassan Msuya akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Afisa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka  Ligula RRH Mkoani Mtwara  Maria Lesiaki Joseph  
akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Mratibu wa Takwimu za Afya kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani Hussein Salum Mdete 
akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Afisa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka  Dodoma RRH Mwahita Hamisi  akizungumza katika  Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wataalamu wa    Ufuatliaji na Tathmini kutoka Sekta ya  Afya (M&E Champions) Jijini Dodoma tarehe 23,Aprili, 2025.

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)