Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na wadau wa Sekta ya Viwanda na Biashara kutoka ndani na nje ya nchi katika Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Biashara uliofanyika leo Julai 30, 2024 jijini Dar es Salaam.
Mhe. Dkt. BITEKO: "TUSIWAKWAMISHE WAFANYABIASHARA"
Jumanne, Julai 30, 2024
0