Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya, Idara ya Kinga, Sehemu ya Elimu ya Afya kwa Umma chini ya Mpango wa Taifa wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii Bi. Orsolina Tolage akiteta jambo na Mganga Mkuu Mkoa Lindi Dkt. Kheri Kagya Ofisini kwake Mkoani Lindi leo tarehe 8,Julai,2024.
Wawakilishi kutoka Wizara ya Afya wapo Mkoani Lindi kwa ajili ya zoezi la Uchaguzi Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii (CHWs)Wilayani Ruangwa watakoingia kwenye Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii.
#UsibakiNyuma #MtuNiAfya
Fanya kweli Usibaki nyuma,Mtu ni Afya.
Kwa taarifa,Elimu na Ushauri zaidi Piga Simu 199
@ummymwalimu
@mohamed_mchengerwa
@dr_mollel
@ntulikapologwe
@dr.tumainim.haonga
@drtumainihaonga
@wizara_afyatz #afyanimtaji
@changiadamutz
@ortamisemi
@latra_tz
@polisi.tanzania
@unesconatcomtz
#elimuyaafyakwaumma