HABARI KATIKA PICHA:RAIS SAMIA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA(TNBC)

MUUNGANO   MEDIA
0

 



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akizungumza kabla ya kufungua Mkutano wa 15 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam 29 Julai, 2024.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC), Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 29 Julai, 2024.

Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)