VIONGOZI WATAKIWA KUWA NA WELEDI KATIKA UTEKELEZAJI WA MPANGO JUMUISHI WA WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII.
Jumanne, Juni 11, 2024
0
Mkuu
wa Wilaya ya Lindi Mhe. Shaibu Ndemanga akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa
Lindi Mhe Zainab Telack amewasihi viongozi wa wilaya na mkoa kuzingatia
Weledi katika utekelezaji wa Mpango jumuishi wa wahudumu wa afya ngazi
ya jamii kwa Mkao wa Lindi .
Tags