Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasalimu abiria waliotumia ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)
Alhamisi, Machi 07, 2024
0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasalimu abiria waliotumia ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati alipotumia usafiri huo kutoka Dar es salaam kuelekea Kilimanjaro tarehe 07 Machi 2024.
