Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip
Mpango ameshiriki Maziko ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi yaliyofanyika katika Kijiji cha
Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar. Tarehe 02 Machi 2024

