PICHA A1-A02
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango amewasili katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam
ambapo anawaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho
kwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa. Tarehe 13 Februari
2024.

