Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitembelea na kukagua shughuli mbalimbali za uzalishaji zinazofanywa katika Kiwanda cha MSD cha kutengeneza Mipira ya Mikono (Gloves) kilichopo Idofi, Makambako mkoani Njombe. (tarehe 26 Oktoba 2023).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Kiwanda cha MSD cha kutengeneza Mipira ya Mikono (Gloves) kilichopo Idofi, Makambako mkoani Njombe. (tarehe 26 Oktoba 2023).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wafanyakazi wa Kiwanda cha MSD cha kutengeneza Mipira ya Mikono (Gloves) pamoja na wananchi mbalimbali wa mji wa Makambako mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika kiwanda hicho kilichopo Makambako mkoani Njombe. (tarehe 26 Oktoba 2023).