WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA QATAR NCHINI.

MUUNGANO   MEDIA
0


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 11, 2023 amekutana na Balozi wa Qatar nchini Tanzania anayemaliza muda wake, Mheshimiwa Hussain Ahmad Al-Homaid katika Ofisi kwake Oysterbay, Dar es Salaam.


Pamoja na mambo mengine, Mheshimiwa Majaliwa amemuomba Balozi Homaid akawe balozi mzuri wa kuitangaza Tanzania kwa sababu anafahamu vizuri fursa zilizopo nchini.
Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)