WAZIRI MKUU MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 40 YA WATERAID

0

 


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Mkakati Mpya wa Shirika la WATERAID Tanzania (2023-2028) na Maadhimisho ya WATERAID nchini kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Juni 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata keki ya Maadhimisho ya miaka 40  ya Shirika la WATERAID nchini kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Juni 13, 2023.  Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi, na kulia ni Mkurugenzi Mkaazi wa WATERAID  nchini, Anna Tenga Mzinga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata keki ya Maadhimisho ya miaka 40  ya Shirika la WATERAID nchini kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Juni 13, 2023.  Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward  Mpogolo, Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi, Mkurugenzi  Mkaazi wa WATERAID  nchini, Anna Tenga Mzinga na Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini a Zanzibar, Shaibu Hassan Kadura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha nakala ya Mpango  Mpya wa  Shirika la WATERAID  nchini (2023-2028) baada ya kuzindua mpango huo kwenye ukumbi wa hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Juni 13,  2023. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward  Mpogolo, Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi, Mkurugenzi  Mkaazi wa WATERAID  nchini, Anna Tenga Mzinga na kulia ni Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar, Shaibu Hassan Kadura. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

DSC 4844 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mkaazi wa Shirika la WATERAID, Anna Tenga Mzinga,  ya Miaka 40 ya Shirika la WATERAID ya kutambua mchango wake katika kufanikisha majukumu mbalimbali ya shirika hilo, katika Maadhimisho ya miaka 40  ya Shirika la WATERAID nchini Tanzania kwenye ukumbi wa Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam, Juni 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


DSC 4653 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi  wakati alipowasili kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam kuzindua Mkakati Mpya wa Shirika la WATERAID Tanzania (2023-2028) na Maadhimisho ya WATERAID nchini , Juni 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu)


Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)