Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuzindua huduma ya Kupandikiza Uloto (Bone Marrow Transplatation) katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Mei 10, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Huduma ya Upandikizaji Uloto (Bone Marrow Transplatation) katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, Mei 10, 2023. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt Grace Maghembe, Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt. Alphonce Chandikwa , Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Donald Menjiti. Mtoto aliyesimama katikati ni Esther Osena ambaye ametoa Uloto uliopandikizwa kwa kaka yake Elisha Osena. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mtoto Elisha Osena (kulia) ambaye amepandikizwa Uloto (Bone Marrow Transplantation) kati ka Hospitali ya Benjamin Mkapa baada ya kuzindua huduma hiyo kwenye hospitali hiyo jijini Dodoma, Mei 10, 2023. Kushoto ni dada wa mtoto huyo, Esther Osena ambaye ametolewa Uloto uliopandikizwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na mtoto Elisha Osena (kulia) ambaye amepandikizwa Uloto (Bone Marrow Transplantation) kati
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza mtoto Elisha Osena (kulia) ambaye amepandikizwa Uloto (Bone Marrow Transplantation) kati