HABARI KATIKA PICHA:WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

MUUNGANO   MEDIA
0

 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Capt. Mstaafu George  Mkuchika bungeni jijini Dodoma, Mei 9, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay bungeni Jijini Dodoma, Mei 9, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Tags

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)