EWURA YAKUTANA NA WAZALISHAJI WADOGO WA UMEME.

MUUNGANO   MEDIA
0






Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imekutana na Wazalishaji wadogo wa umeme, ili kujadiliana nao mambo mbalimbali, zikiwemo changamoto wanazokutana nazo katika utendaji kazi wao, mkutano huu umefunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Dkt. James Andilile, leo Tar.17/05/2023, katika ofisi za EWURA Kanda ya Mashariki, Dar es Salaam.

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)