KATIBU MKUU OFISI YA MAKAMU WA RAIS NA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

MUUNGANO   MEDIA
0


 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiwa katika picha ya pamoja na 
viongozi na watumishi wa Ofisi ya Makamu walipojumuika kutakiana heri katika kuadhimisha Sikukuu ya Wanawake Duniani leo Machi 08, 2023.


Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akifurahia jambo na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Bw. Abdallah Hassan Mitawi na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt,. Switbert Mkama pamoja na watumishi wa Ofisi walipojumuika kwa ajili ya picha ya pamoja katika kuadhimisha Sikukuu ya Wanawake Duniani leo Machi 08, 2023.

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)