UMMY APOKEA TAARIFA MGOGORO HOSPITALI YA UKEREWE

0

 










Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu leo tarehe 07-02-2023 amepokea taarifa ya Kamati ya Uchunguzi wa Mgogoro wa Ujenzi wa Hospitali mpya ngazi ya Mkoa Ukerewe kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Jaji Thomas Mihayo.

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)